LUVANDANinao watu wangu ambao wamefanikiwa kumaliza vyuo tena vya elimu ya juu lakini wengi wamekua wakifikiria zaidi kuajiriwa baada ya kumaliza elimu yao hiyo ya juu.
Good news ambayo nakupatia ni kuwa mtu wetu Antony Luvanda ameamua kuwakutanisha wanavyuo wote kwa ajili ya kuelekezana namna unavyoweza kuitumia elimu yako bila kuajiriwa.
Nimeambiwa kuwa isue hii itakua Jumamosi ya tarehe 30 pale kwenye ukumbi wa Chuo cha Duce karibu na Uwanja wa Taifa na kizuri ambacho nimeambiwa hakuna kiingilio.
IMG-20150528-WA0071Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

No comments:

Post a Comment