
Ninao watu wangu ambao wamefanikiwa kumaliza
vyuo tena vya
elimu ya juu lakini wengi wamekua wakifikiria zaidi kuajiriwa baada ya kumaliza elimu yao hiyo ya juu.
Good news ambayo nakupatia ni kuwa mtu wetu
Antony Luvanda ameamua kuwakutanisha wanavyuo wote kwa ajili ya kuelekezana namna unavyoweza kuitumia elimu yako bila
kuajiriwa.
Nimeambiwa kuwa isue hii itakua Jumamosi ya
tarehe 30 pale kwenye ukumbi wa Chuo cha
Duce karibu na Uwanja wa Taifa na kizuri ambacho nimeambiwa
hakuna kiingilio.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza
hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau
kusubscribe YouTube kwa kubonyeza
hapa >>>Videos ili kila video ya
AyoTV ikufikie.
No comments:
Post a Comment